Mambo!

Mambo!

..........
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
 
hhhahahha Caroline umenifurahisha sana

Haya Ziondaughter Caro ndo first born wa mwisho hapa nyumbani lol. Umheshimu hivyo!

Nashukuru.Ntamuheshimu sana.Bila shaka alikuwa HADANGANYIKI huko shule ili niige mfano wake.
 
Duh!
Huku watu wana good spirit. This is lovely!
Mimi ni son of a B**** (bado sijaanza kubweka)
 
Hi!
Iam looking forward to learn and contribute as well!

Stay Blessed all of you.

Karibu sana jamvini, ujisike uko nyumbani kabisa. Kuna mihogo ya nazi hapa na ndizi za utumbo wa mbuzi 😉 karibu sana jamvini. Naona ulizaliwa wakati wa shibe 🙂
 
Karibu sana jamvini, ujisike uko nyumbani kabisa. Kuna mihogo ya nazi hapa na ndizi za utumbo wa mbuzi 😉 karibu sana jamvini. Naona ulizaliwa wakati wa shibe 🙂

Asante.kwetu bara tumezoea ugali maharage ya kuunga na karanga.itabidi nijifunze hizi nazi.
 
Asante.kwetu bara tumezoea ugali maharage ya kuunga na karanga.itabidi nijifunze hizi nazi.

Ha ha ha ha ha haya kuna ugali na nguru wa kuchoma na kisamvu cha karanga 😉 Karibu sana.
 
Na huwa huyo NANILIU anasafiri sana, hivyo akina Fidel na Kaizer

wananilinda bila shida yoyote!

asee vp amesharudi toka safari???, si unajua tena mambo yetu yaleee.
teh teeeh kwii kwiii ahaaah haah
icon10.gif
icon10.gif
 
Back
Top Bottom