mambo

mambo

sammie

Member
Joined
May 11, 2010
Posts
15
Reaction score
0
Wanachama wa jamii forum wazima nyie? Tuko pamoko kwenye mtandao huu.
 
au unatutania ndugu yetu...karibu sana lakini
 
Sina utani au mnataka muone mavitu yangu? :hug:
 
Karibu ila naoana umeingilia mlango wa uwani manake umeamua kupitia kwenye utani na udaku. Si mbaya sana ni ugeni tu. Karibu!
 
Back
Top Bottom