Mambo!

Mambo!

Gabby

Member
Joined
May 18, 2010
Posts
33
Reaction score
9
Mtaalam nimeingia. Nawasalimu wote wanajamii. Nasikitika nimechelewa sana kujiunga japo naingia katika mtandao huu mara nyingi sana! Mtaniona bila shaka.
 
utaalam wako uko katika nyanja zipi????
 
Mtaalam nimeingia. Nawasalimu wote wanajamii. Nasikitika nimechelewa sana kujiunga japo naingia katika mtandao huu mara nyingi sana! Mtaniona bila shaka.

Karibu sana mkuu hujachelewa mbona bado mapema.
 
Karibu nyumbani, usiishie chumba hiki, pitia na vyumba vingine uone jinsi hii nyumba ilivyo kubwa.
 
Mtaalam nimeingia. Nawasalimu wote wanajamii. Nasikitika nimechelewa sana kujiunga japo naingia katika mtandao huu mara nyingi sana! Mtaniona bila shaka.

Usisikitike mtaalam wa ...........! karibia mpaka ndani
 
Mheshimiwa Gabby karibu sana hujachelewa si unajua kuna maneno ya dini yanasema...'' WA KWANZA ATAKUWA WA MWISHO NA WA MWISHO ATAKUWA WA KWANZA...!
 
Back
Top Bottom