haijulikani binamu, ila atakua SHE tu, ujue saivi maSHE wengi wamehamasika sana kuja JF!. kwahabari nyepesi ni kwamba wa2 wengi wamebadilika sana sasa wake na mademu wa watu wamekuja JF kufuatilia kujua chanzo ni nini, ndo maana mie laputopu yangu nimebadilisha pasiwedi!!.