mambos!

mambos!

pouwaz, hatujambo!
vipi we hujambo, utokako wazima??
 

haijulikani binamu, ila atakua SHE tu, ujue saivi maSHE wengi wamehamasika sana kuja JF!. kwahabari nyepesi ni kwamba wa2 wengi wamebadilika sana sasa wake na mademu wa watu wamekuja JF kufuatilia kujua chanzo ni nini, ndo maana mie laputopu yangu nimebadilisha pasiwedi!!.
 
hii hata ikiwa SHE jinalake limekaa kikauzu sana, mpwa hapo usijaribu kufanya yale mambo yetu.

Binamu umenivunjia mbavu zangu mbili!!! Hehehehe! Hahahaha!
 
isije ikiwa SEMENYA type!, hahahaaaa.
 
Back
Top Bottom