Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa mafunzo ya siku saba ya kuwajengea uwezo wa Afya ya Akili na msaada wa kisaikolojia kwa watoto. Yaliyofadhiliwa na Taasisi za SOS Children's Villages na REPSSI Tanzania.

Lazaro Mambosasa akizungumza na washiriki wa mafunzo hayo yanayoendelea Jijini Dar es Salaam. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi, Dar es Salaam)