Mambosasa soma alama za nyakati

Mambosasa soma alama za nyakati

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China.

Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa dalili zote jina la 2 litakalo kuwa blacklisted na Mike Pompeo ni Lazaro Mambosasa. Nina sababu kama 2 au 3.
(1) Mambosasa alikuwa ndiye RPC wa Dodoma wakati Tundu Lissu anashambuliwa, na kwa aliyoyafanya akapewa kanda Maalum kama shukrani.

(2) Mambosasa amekuwa akitumika kama dodoki na Paul Makonda katika kutelekeza udhalimu wote kama vile tukio la Mo Dewji, Azory Gwanda, utekaji wa akina Bollen Ngeti, Tito Magoti, Eric Kabendera nk.

Ushauri:
Kwanza atambue kuwa wana siasa watamruka kama ambavyo IGP wa Uganda Kale Kayihura ameachwa apambane peke yake na Museveni.

Baada ya JPM kutoka lazima Mambosasa na Bashite aka Paul Makonda washitakiwe ICC kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu
 
Hata jiwe akitoka atakuwa bigjii atashtakiwa.
Of course kwa sasa Jiwe yuko safe kama alivyokuwa Omar Bashir wa Sudan. Ila baada ya kutoka madarakani tayari Fatou Bensouda wa ICC ameshatoa hati za kumtaka Omar Bashir apelekwe The Hague.
 
Ilianza moshi kufuka,tukatahadhalisha wakasema sisi sio wazalendo.Saiz yanawatokea puani.Kwa sababu Dunia imejua hata ICC Bin Suda atakuwa amepata taarifa na wataanza kuichunguza Tanzania.Athari yake ni kubwa sana.Ccm ni vema wakaachia madaraka kwa amani ila kama wataendelea hivi kuna watu wataozea jela huko ughaibuni.Lakin masuala haya yanazuilika kabsa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa RPC ni mzigo kuliko kubeba gunia la misumari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Simon Sirro alikuwa RPC wa Kanda Maalum na hakukubali kupelekeshwa kama huyu Mambosasa.

Sasa hivi watu wote wanaokosoa Seriakli ya Jiwe au wanakataa kumpa hela Makonda, wakipelekwa Central Mambosasa anawafungulia keai za kutakatisha hela
 
njia ya mwongo ni fupi mara wakasema ohoo US. ban ni kwa sababu kuna outsider wengi hawataki kurudi nyumbani wakaonywa bado wakang'ang'ana..USA ndo mbambe na mwerevu kuliko mataifa yote dunia kwa ishara hizi kuna jambo linakuja Jiwe na washirika wako be careful.
 
WB walimute kupisha taarifa hizi naamini na CIA atakuwa kishatoa taarifa makini na ukweli wote juu ya manyanyaso wanayopitia wanafunzi wajawazito so wala wasimshupalie zito ilihali mawakala wa CIA wametapakaa mpaka hapo magogoni.
 
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China.

Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa dalili zote jina la 2 litakalo kuwa blacklisted na Mike Pompeo ni Lazaro Mambosasa. Nina sababu kama 2 au 3.
(1) Mambosasa alikuwa ndiye RPC wa Dodoma wakati Tundu Lissu anashambuliwa, na kwa aliyoyafanya akapewa kanda Maalum kama shukrani.

(2) Mambosasa amekuwa akitumika kama dodoki na Paul Makonda katika kutelekeza udhalimu wote kama vile tukio la Mo Dewji, Azory Gwanda, utekaji wa akina Bollen Ngeti, Tito Magoti, Eric Kabendera nk.

Ushauri:
Kwanza atambue kuwa wana siasa watamruka kama ambavyo IGP wa Uganda Kale Kayihura ameachwa apambane peke yake na Museveni.

Baada ya JPM kutoka lazima Mambosasa na Bashite aka Pa Makonda washitakiwe ICC kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu
Mtu mwengine anaeweza kuwa kwenye listi hii ni msajili wa vyama...Mutungi!
 
Kaz kaz

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom