Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashiru amekataa kusema uongo. Kasema wazi, CCM INATUMIA VYOMBO VYA DOLA KUBAKI MADARAKANI. Yaani Polisi, Magereza, Mahakama, Tume ya uchaguzi, idara ya watu wasiojulikana na vyombo vyote vya dola vinatumiwa kupigana na wapinzani.
Stuxnet usije ukasahau kunikumbusha siku wanapelekwa The Hague kama ulivyosahau kunikumbusha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa! Ahahahahah!!Hata Laurent Bagbo wa Vote D'Ivoire alikuwa anasema hivyo hivyo mwaka 2012 kabla nguvu ya umma haijamtoa na kipelrkwa The Hague.
Itakapofika siku yao ndiyo utajua ICC iko Ufipa au Mtaa wa Lumumba
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye.... (Mithali 26:4)Stuxnet usije ukasahau kunikumbusha siku wanapelekwa The Hague kama ulivyosahau kunikumbusha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa! Ahahahahah!!
Mpumbavu huaibika "kweri kweri" anapokutana na mwerevu!Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye.... (Mithali 26:4)
Stuxnet,
Mtu mwingine anayepaswa kusoma alama za nyakati ni DPP Biswalo Mganga. Huyu ndiye conduit au dodoki la Magufuli kwa kuwabambikia kesi wakosoaji na matajiri wasio waunga mkono.
Huyu hana maamuzi kama alivyokuwa nayo AG mtangulizi Masaju ambaye alikuwa anasimamia kwenye sheria na haki mpaka Jiwe akamtema na kumpa U-Judge.
Bahati mbaya Biswalo Mganga pamoja na kubambikia watu kesi vile naye ni mkusanyaji wa hela kutoka kwa watuhumiwa wa Money Loundering. Zile hela za plea bargaining nusu inaingia na nusu wanagawana na Jiwe.
Mtahadharisheni Biswalo, kikombe atakachopitia Makonda na yeye hawezi kukikwepa.
Tunaendelea ku document vitendo vya jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinafanywa kwa amri ya Makonda na kusimamiwa na Lazaro Mambosasa. Itafika siku ya siku usijeshangaa. This week tumemuona pale Kisutu akisimamia kuwaumiza wanachama CDM.