Mambosasa soma alama za nyakati

Mtu mwengine anaeweza kuwa kwenye listi hii ni msajili wa vyama...Mutungi!
Nakubaliana na wewe, Msajili wa vyama Mutungi amejibagaza hadhi yake kama Jaji na kusigina heshima yake kama Mwanasheria
 
Stuxnet,
Mtu mwingine anayepaswa kusoma alama za nyakati ni DPP Biswalo Mganga. Huyu ndiye conduit au dodoki la Magufuli kwa kuwabambikia kesi wakosoaji na matajiri wasio waunga mkono.

Huyu hana maamuzi kama alivyokuwa nayo AG mtangulizi Masaju ambaye alikuwa anasimamia kwenye sheria na haki mpaka Jiwe akamtema na kumpa U-Judge.

Bahati mbaya Biswalo Mganga pamoja na kubambikia watu kesi vile naye ni mkusanyaji wa hela kutoka kwa watuhumiwa wa Money Loundering. Zile hela za plea bargaining nusu inaingia na nusu wanagawana na Jiwe.

Mtahadharisheni Biswalo, kikombe atakachopitia Makonda na yeye hawezi kukikwepa.
 
Tunaendelea ku document vitendo vya jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinafanywa kwa amri ya Makonda na kusimamiwa na Lazaro Mambosasa. Itafika siku ya siku usijeshangaa. This week tumemuona pale Kisutu akisimamia kuwaumiza wanachama CDM.
 
Uyu bwana kaota mapembe amekuwa akitoa kauli za hovyo na kuchefua hajui kuwa kile kiti hakurithishwa bali ninafasi aliyopewa kwa muda lakini pia nafasi inayoweza kumwingiza gerezani baada ya utumishi wake.

Leo nimemuona kwa macho yangu na kumsikia kwa masikio yangu namnukuu
"Mnamo tarehe tajwa tulipata taarifa kuwa watu wanaosemekana ni wafuasi wa Chadema watafanya vurugu katika viwanja vya Gereza la Segerea wakiongozwa na
Halima Mdee ".
Mpaka apo niliishabaini uongo mkubwa wa uyu bwana maana anaonekana hana uhakika kama Halima Mdee, Meya wa Jiji Jackob, Esther Bulaya na wengine kama ni wanachama wa Chadema. Lakini pia anadai walitaka kuingia kwenye eneo la gereza kwa nguvu kumtoa Mwenyekiti wao.

Kwamaelezo aya itoshe kumtaka IGP kumwondoa Mambo sasa kabla ya uchaguzi au yeye kuwajibika maana tutashuhudia umwagaji damu na vilema wataongezeka baada ya uchaguzi mkuu October.

Alafu anatwambia walimchania nguo askari kwaiyo anaaminisha watanzania ambao tumechanga pesa kuwatoa watu wanaoonewa kuwa kulikuwa na vurugu za kushikana mashati. Kama mlipata taarifa mapema alafu mkashindwa kuzuia inaonekana Jeshi la polisi limeishiwa mbinu zakukabiliana na matukio badala yake mmeamua kusubiri maelekezo kutoka Ikulu.

Hii mizaha mnayoilea mtaelemewa na ushaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii ICC ipo Ufipa?
Hata Laurent Bagbo wa Vote D'Ivoire alikuwa anasema hivyo hivyo mwaka 2012 kabla nguvu ya umma haijamtoa na kipelrkwa The Hague.

Itakapofika siku yao ndiyo utajua ICC iko Ufipa au Mtaa wa Lumumba
 
Hata Laurent Bagbo wa Vote D'Ivoire alikuwa anasema hivyo hivyo mwaka 2012 kabla nguvu ya umma haijamtoa na kipelrkwa The Hague.

Itakapofika siku yao ndiyo utajua ICC iko Ufipa au Mtaa wa Lumumba
Stuxnet usije ukasahau kunikumbusha siku wanapelekwa The Hague kama ulivyosahau kunikumbusha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa! Ahahahahah!!
 
[QUOTE wagagagigi, post: 34252677, member: 263409"]
Mtu mwengine anaeweza kuwa kwenye listi hii ni msajili wa vyama...Mutungi!
[/QUOTE]

THE MOST STUPID JUDGE I HAVE EVER COME ACROSS!
 
Stuxnet usije ukasahau kunikumbusha siku wanapelekwa The Hague kama ulivyosahau kunikumbusha kuhusu kurudiwa kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa! Ahahahahah!!
Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usije kuwa sawa na yeye.... (Mithali 26:4)
 
Sasa hivi ni jaji!
 
Umefikia wapi ku document?
Tunaendelea ku document vitendo vya jinai dhidi ya binadamu ambavyo vinafanywa kwa amri ya Makonda na kusimamiwa na Lazaro Mambosasa. Itafika siku ya siku usijeshangaa. This week tumemuona pale Kisutu akisimamia kuwaumiza wanachama CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…