Uchaguzi 2020 Mambosasa: Wagombea ubunge walioshindwa warudi majimboni mwao

Wengi makazi yao ni Dar, majimboni walikaa kwa shughuli za ubunge. Hii nchi vipi hii.
Na hiii ndio sababu wameshindwa uchaguzi. Mfano Esther Bulaya alikuwa anashinda Kawe kwa Halima alafu Bunda amepasahau kabisa. Kwa hiyo watulie majumbani kwao.
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.

Kila aliyeshindwa arudie kazi yake ya zamani....Zitto sijui kazi gani. Mbowe ana hotel na mkulima. John Heche? Lema jamani Lema? Sugu na Haule watililike kwa mziki.
Kiufupi, maisha lazima yaendelee. Wasilazimishe mambo. Hawatafanikiwa
 
Watu wasichekelee haya matamko kana kwamba yanawabana CHADEMA, Hii tabia ikiachiliwa tu bila kukemewa na raia wanatambua haki zao, iko siku hawa hawa viongozi wataamua hakuna kuingia mji fulani haijalishi unatoka chama gani , hapo ndio mtajua hamjui .
 
Upinzani ni muhimu sana. Ila sio kila mpinzani ni mpinzani wa kweli
 
Amenukuu kifungu chachote cha sheria kinachowataka wasiwapo hapo kwenye jiji letu
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Keshawahukumu kifungo cha nyumbani
 
Sahihi kabisa wakashiriki miradi ya maendeleo majimboni mwao kama wananchi wengine.
 
Maandamano yamefeli tena. Tatizo muwe mnawasoma watanzania walivyo
D3FBD760-29A7-4831-BFD9-5200B7905EAD.jpeg

Hakukuwa na organisation ya maana na kama kila mtu angejiamulia tu kutoka kwake kwenda ofisi husika kwa muda aliojipangia mwenyewe, ingekuwa fujo
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Mbona hili halipo kwenye katiba wala sheria nyingine za nchi? Kama kashindwa bado anakuwaje akae huko huko? Kama ana mji Dar afanyeje? Au ndio detention ya ki-utu uzima?
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.

Kwahiyo walioshinda wendelee kukaa Dar? Duh logic gani hii!!!
 
Ndimi mbili za lisu [emoji16][emoji23]
 
Kwako Mambonow,
Tumia sehemu ndogo ya hekima na akili aliyokujalia Muumba wako. Huna sababu ya kutoka povu kwa kisichokuwepo.
 
Back
Top Bottom