Mamelod Sundown kujiondoa Afrocan Football League

Mamelod Sundown kujiondoa Afrocan Football League

Bodi ya Ligi wanapiga kura Alhamis kuwa Mamelodi ituhusiwe au laa tusubiri hizo kura tupate majibu sahihi...
 
Vikwazo kama hivi vya mgongano wa ratiba huenda vikaifanya CAF kuyafuta. Kuna ligi hizi mbili za Misri na South Africa, mara nyingi zimekuwa zinachelewa kumalizika sababu vilabu vya nchi hizo huwa vinafika mbali katika michuano ya Afrika. Sasa ukiongeza na AFL, nahisi kunaweza kukasababisha misimu ikaungana
Ingekua ulaya ni simple sana ingepachikwa kati kati ya week tatizo Africa miundombinu ya usafiri ni kikwazo
 
Lete CHANZO Cha TAARIFA YAKO.
(CREDIBLE SOURCE)

Sio kuandika UTHENGEREMA
 
wazungu wao waliikataa hii michuano sasa sijui tumeipendea nn? bahati nzuri bosi wa CAF ndo mmiliki wa mamelod
 
Back
Top Bottom