DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Aisee kweli kabisa lakini Ngoja tuone wakicheza kama itakuwa Mechi bora au Masandana watamkanda Zaidi Goli kadhaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kweli kabisa lakini Ngoja tuone wakicheza kama itakuwa Mechi bora au Masandana watamkanda Zaidi Goli kadhaa
Hakika utakua mpira mzuri .kila la heri wana jangwani
Acha pumba. Wewew ndiye uliyewaweka Yanga hapo walipo? Kwa akili yako unadhani kuwa kurudia mitihani mara nyingi ndiyo kufaulu? Wenizo wanapewa mtihani na kupasi papo kwa papo bila kurudia rudiaMashabiki wa yanga tuache kulalamika na kutaka kufika mahali ambapo hatujapapambania... Kama tunataka kucheza na mamelodi tujitahidi Kila mwaka kufika angalau robo caf... Sasa miaka 25 hatujacheza caf hao mamelodi tutakutana nao wapi sasa???
Kwani amesha pata Ajira??