Mamelod sundowns vs Yanga Afrika

Mashabiki wa yanga tuache kulalamika na kutaka kufika mahali ambapo hatujapapambania... Kama tunataka kucheza na mamelodi tujitahidi Kila mwaka kufika angalau robo caf... Sasa miaka 25 hatujacheza caf hao mamelodi tutakutana nao wapi sasa???
Acha pumba. Wewew ndiye uliyewaweka Yanga hapo walipo? Kwa akili yako unadhani kuwa kurudia mitihani mara nyingi ndiyo kufaulu? Wenizo wanapewa mtihani na kupasi papo kwa papo bila kurudia rudia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…