wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Kwanza tujue anacheza na nani?Duh inamaana mamelody wameamua kuhamishia mchezo wao kuja kuchezea Bongo kama uwanja wao wanyumbani?
Au mindosijaelewa
Weka SocialSimba sasa yaanza kukodisha mashabiki,baada ya mamelod kuomba waungwe mkono ktk mechi yao itakayopigwa dimba la mkapa.
Hakika wanamsimbazi sasa wanatisha.
Hii inaenda sambamba na viwanja vyenye ubora,timu zinazoendeshwa kisasa,academy zinazoeleweka tujenge foundation nzuri ya vijana wetu,media inayoeleweka,sera nzuri za mpira....bado tuna safari ndefu tusione simba imefika ilipofika ila nguvu kubwa inaitajikaTanzania can became a football HUB for africa endapo mkazo rasmi utafanyika ikiwamo na kuanza kununua wachezaji toka popote pale duniani kwa bei nzuri zaidi ya wengine africa so that kutengeneza soko zuri zaidi la wachezaji afrika nzima
kwamba mkimshangilia ndo anashinda.Tutamshangilia mwenyeji aliyeomba mechi ichweze hapa nyie mtafuteni senzo aliyetusaliti bila mafanikio
Hata nyinyi hamkutushangilia na tuliwabonda 4G.kwamba mkimshangilia ndo anashinda.
ruvu hamkumshangilia mbona aliwabonda
baada ya kutembeza hongo ya dolla 10,000 kwa morison.kumbuka pia hiloHata nyinyi hamkutushangilia na tuliwabonda 4G.