Mamelod yaomba "support" ya mashabiki wa Simba

Mamelod yaomba "support" ya mashabiki wa Simba

Duh inamaana mamelody wameamua kuhamishia mchezo wao kuja kuchezea Bongo kama uwanja wao wanyumbani?
Au mindosijaelewa
 
Duh inamaana mamelody wameamua kuhamishia mchezo wao kuja kuchezea Bongo kama uwanja wao wanyumbani?
Au mindosijaelewa
Kwanza tujue anacheza na nani?
Pili rangi ya jezi atakoyavaa yeye na mpinzani wake. Kukiwa na uto bhas ametukosa
 
Tanzania can became a football HUB for africa endapo mkazo rasmi utafanyika ikiwamo na kuanza kununua wachezaji toka popote pale duniani kwa bei nzuri zaidi ya wengine africa so that kutengeneza soko zuri zaidi la wachezaji afrika nzima
Hii inaenda sambamba na viwanja vyenye ubora,timu zinazoendeshwa kisasa,academy zinazoeleweka tujenge foundation nzuri ya vijana wetu,media inayoeleweka,sera nzuri za mpira....bado tuna safari ndefu tusione simba imefika ilipofika ila nguvu kubwa inaitajika
 
Haaaaaaaa!!
Simba Simba Simba mtawauwa wenzenu kwa presha muwe na huruma nawao ni binadamu pia.
Mnavyopanda kwakasi nje na ndani ya uwanja mnawapa taabu sana wenzenu waliobakia Jangwani kwenye jua kali,kiu na uchovu vitawamaliza[emoji23]
 
Back
Top Bottom