Mamelod yaomba "support" ya mashabiki wa Simba

Tanzania can became a football HUB for africa endapo mkazo rasmi utafanyika ikiwamo na kuanza kununua wachezaji toka popote pale duniani kwa bei nzuri zaidi ya wengine africa so that kutengeneza soko zuri zaidi la wachezaji afrika nzima
Yani mchezaji atoke ligi za maana aje kuchezea Ihefu au Ruvu Shooting
 
Duh inamaana mamelody wameamua kuhamishia mchezo wao kuja kuchezea Bongo kama uwanja wao wanyumbani?
Au mindosijaelewa
Hapana! Nchi ya morroco imezuia wageni wote toka south africa kuingia nchini kwao kwakuwa south kuna rate kubwa ya maambukizi ya korona, kwahiyo timu ya moroko ndio imeamia dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…