Kwamba ilikuwa morrison akihongwa timu nzima ya utopolo na benchi lao linakuwa limehongwa?baada ya kutembeza hongo ya dolla 10,000 kwa morison.kumbuka pia hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba ilikuwa morrison akihongwa timu nzima ya utopolo na benchi lao linakuwa limehongwa?baada ya kutembeza hongo ya dolla 10,000 kwa morison.kumbuka pia hilo
Yani mchezaji atoke ligi za maana aje kuchezea Ihefu au Ruvu ShootingTanzania can became a football HUB for africa endapo mkazo rasmi utafanyika ikiwamo na kuanza kununua wachezaji toka popote pale duniani kwa bei nzuri zaidi ya wengine africa so that kutengeneza soko zuri zaidi la wachezaji afrika nzima
Hebu jiulize kwanini hakuwaomba mashabiki wa utopolo ukishapata jibu ndio uje upost utopolo wakokwamba mkimshangilia ndo anashinda.
ruvu hamkumshangilia mbona aliwabonda
Hapana! Nchi ya morroco imezuia wageni wote toka south africa kuingia nchini kwao kwakuwa south kuna rate kubwa ya maambukizi ya korona, kwahiyo timu ya moroko ndio imeamia darDuh inamaana mamelody wameamua kuhamishia mchezo wao kuja kuchezea Bongo kama uwanja wao wanyumbani?
Au mindosijaelewa

baada ya kutembeza hongo ya dolla 10,000 kwa morison.kumbuka pia hilo