Mamelodi angetolewa na Al Ahly,Simba naye angefungwa na Stellenbosch

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer

Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe

Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu.

VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa presha duniani
 
Sijui unashabikia timu,

Nahisi itakuwa ni ya walewale
IMG_20250330_155626.JPG
 
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer

Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe

Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu.

VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa presha duniani
Mtakosa Cha Kusema Basi 🤣🤣
 
Kwani bado hamjapona tyuuh? Aaaah
😂😂😂😂😂😂
 
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer

Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe

Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu.

VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa presha duniani
Ungekaa kimya tuu Kaizer ya wapi tena mzee

Unajidharirisha buree utopolo
 
Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer

Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi
wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe

Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu.

VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa presha duniani
Kaizer labda ya Muleba.Ndio tabu ya kufuata mkumbo na kusikiliza vikao vya kahawa.
 
Back
Top Bottom