Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

Wale mashabiki wa Ubuntu wa Tanzania timu yao imeshaondolewa mashindanoni kwa kufungwa tena uko south

πŸ–πŸ– πŸ– FC
 
Uko sahihi kabisaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa umepiga penyewee.
 
Acha kufananisha Bayern na vitu vya ajabu. Bayern ana ndoo kibao za UEFA, huyu mpuuzi ameingia fainali mara moja tu. Anachoweza yeye ni kupasiana tu muda wote.
 
Mbona kila siku huwa tunaongea hapa, hata Simba inavyojiita kubwa kimataifa huo ukubwa unatoka wapi. Sio Simba sio Yanga inamzidi ukubwa Zamalek hata kama hatumuoni klabu bingwa.
 
Simba ndiyo walisema eti Mamelodi ni noma, mara eti kuna Shalulile, mara eti wanafanya mazoezi wakiwa wamejifunika macho.
 
Kocha ni tatizo, kinambeba ni expensive squad na favouritism anayoipata kutokana na marefa kumuogopa boss wa CAF ambae pia ni mmiliki wa mamelod sundowns but in terms of tactics, experience, mind games, technical know-how Mokwena he is still a kid.
 
Simba ndiyo walisema eti Mamelodi ni noma, mara eti kuna Shalulile, mara eti wanafanya mazoezi wakiwa wamejifunika macho.
Lengo si lilikuwa kukutisha tu Mwananchi ili utolewe wewe huoni ulivyojaa kweli na maneno mechi ya dar ambayo ulikuwa unaweza kushinda kabisa ukijiamini ukakaa nyuma dk zote 90 ukaambulia sare nyumbani wakati walikuwa wepesi tu wale ungeweza hata kushinda mwisho wa siku wakapatia daraja kwenu kwenda kuaibika nusu
 
Wakati wanawapiga mkono Al Ahaly mlikuwa wapi?

Mamelodi ndio timu pekee nimeishuhudia ikipata matokeo Cairo.

Mamelodi ndio mabingwa wa Super cup.

Bongo mmejaa vichambuzi uchwara, soka la South Africa sasa hivi linatawaliwa na Mamelodi hakuna cha Orlando wala Kaizer Chief.
 
Super cup wamechukuwa timu gani? Tanzania imejaa mashabiki uchwara na wachambuzi mavi.
 
Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea, unaelewa kama Gamondi amefundisha Mamelodi?

Huu uthubutu wa kuonesha ujinga wenu hadharani mnautowa wapi?
 
Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea, unaelewa kama Gamondi amefundisha Mamelodi?

Huu uthubutu wa kuonesha ujinga wenu hadharani mnautowa wapi?
Sasa Gamondi kufundisha Mamelod inahusiana nn na nilichokiandika hapo?
Au umeamua tu kutoa taarifa kuwa na yeye alipita hiyo timu mbovu hapo sauz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…