Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

Sikusema kama Mamelodi ni timu bora bali nimemjibu huyo aliyotoa hoja kuwa Al Ahly hufungwa na Mamelodi kwasababu ya mbinu za nje ya uwanja, kwamba ingekuwa ndio sababu basi tungeshuhudia hao Al Ahly kupata matokeo chanya nyumbani kwao dhidi ya Mamelodi.
 

Ah Alhy kwa Afrika ni giant ni lidude likubwa”,. Kumfunga kwa kujirudia rudia ina maana huyo mtu ni bora kwake”,. Inaweza ukawa ubora wa wakati.

Mamelody ilianza kuzungumzwa baada ya kumfua Al Alhy tano, mara mbili na kitendo cha kumfunga pale Cairo kitu ambacho wakubwa wengi wa wakati huo na sasa ilikuwa shughuli pevu.

Japo sio kigezo cha moja kwa moja kuthibitisha ni bora. Ukitaja timu 5 bora Afrika Mamelody hauwezi kumtoa. Ukimlinganisha Mamelody na timu za ukanda wa kaskazini mwa Afrika kama timu nne hivi yeye si bora ila kwa ukanda wetu wa jangwa la sahara thry are excellent
 


Ukanda wetu sisi weusi Tp mazembe Na enyimba wamemuacha mbali sana mamelodi kwa mafanikio
 
Sasa tukianza kuleta hizi propaganda basi tutasingizia kila klabu ina figisu
 
Kuna watu walisema eti ndo kiboko ya waarabu!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…