Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Mpira ulishikwa kwa mkono na mchezaji wa TP Mazembe kabla ya goli kufungwaWadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ulishikwa kwa mkono na mchezaji wa TP Mazembe kabla ya goli kufungwaWadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.
Kucheza ulaya kitu gani?Watu wanaangalia performance yao ya hivi karibuni msifikiri wanaropoka tu, msimu uliopita tu hapo walimpiga Al Ahly goli 5 na msimu huu wamechukua kombe la AFL, huku wakimtoa Al Ahly kwenye semi finals
Bado hatujaongelea AFCON iliyoisha mwaka huu, timu ya SA ilivyoperform vizuri hasa ilipoipiga Morocco tena huku ikiondoka na clean sheet, na zaidi ya nusu ya wachezaji wa SA walikuwa ni wa Mamelodi Sundowns
Sema basi tu kwa vile walikutana na Nigeria ambayo wachezaji karibu wote wanachezea vilabu vikubwa Ulaya, ndio wakatolewa wakaishia kuwania na kushinda nafasi ya tatu, kwahiyo siyo kwamba ni timu ndogo inawezekana labda imeanza tu kushuka viwango au kocha kuna mahali anakosea
NakupendaYamekuwa hayo tena jamani? Mara hii mmesahau Ubuntu Botho?
Caf champions league wana mafanikio gani recently?Watu wanaangalia performance yao ya hivi karibuni msifikiri wanaropoka tu, msimu uliopita tu hapo walimpiga Al Ahly goli 5 na msimu huu wamechukua kombe la AFL, huku wakimtoa Al Ahly kwenye semi finals
Bado hatujaongelea AFCON iliyoisha mwaka huu, timu ya SA ilivyoperform vizuri hasa ilipoitoa Morocco tena huku ikiondoka na clean sheet, na zaidi ya nusu ya first eleven ya SA walikuwa ni Mamelodi Sundowns
Sema basi tu kwa vile walikutana na Nigeria ambayo wachezaji karibu wote wanachezea vilabu vikubwa Ulaya, ndio wakatolewa wakaishia kuwania na kushinda nafasi ya tatu, kwahiyo siyo kwamba ni timu ndogo inawezekana labda imeanza tu kushuka viwango au kocha kuna mahali anakosea
Watu wanaangalia performance yao ya hivi karibuni msifikiri wanaropoka tu, msimu uliopita tu hapo walimpiga Al Ahly goli 5 na msimu huu wamechukua kombe la AFL, huku wakimtoa Al Ahly kwenye semi finals
Bado hatujaongelea AFCON iliyoisha mwaka huu, timu ya SA ilivyoperform vizuri hasa ilipoitoa Morocco tena huku ikiondoka na clean sheet, na zaidi ya nusu ya first eleven ya SA walikuwa ni Mamelodi Sundowns
Sema basi tu kwa vile walikutana na Nigeria ambayo wachezaji karibu wote wanachezea vilabu vikubwa Ulaya, ndio wakatolewa wakaishia kuwania na kushinda nafasi ya tatu, kwahiyo siyo kwamba ni timu ndogo inawezekana labda imeanza tu kushuka viwango au kocha kuna mahali anakosea
Caf champions league wana mafanikio gani recently?
Hao kuongoza makundi ni kawaida yao tena huongoza kwa points nyingi sana kila msimu ila wakienda sana mwisho nusu fainali na ujue walimuokota kibonde robo fainali vinginevyo robo tu shughuli yao imeisha
Timu haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa toka mwaka 2016 unadhani ni kwa bahati mbaya.
Al Ahly na Wydad wamegawana vikombe kwenye fainali tano za mwisho yeye hajaweza kuchallenge hata mwaka mmoja zaidi ya kumkamia Al Ahly tu kwenye makundi akipangwa nae
Kabla haijawa overrated ujue ilikuwa highly rated (kuna jambo ilifanya)
Mamelody is overrated yes. Timu ya 1996 tayari ina kombe la CAF, tayari wana Semi’s kama tatu nne hivi halafu timu za kariakoo ambazo sizo overrated hiyo Nusu wanaililia hadi kwa barua.
Kwa Soka la Africa you can’t write them off.
Yes Mamelody hii sio ile ya Motsepe’
Timu Yeyote Ikishacheza Na Dar Young Africans Ikashindwa Kupata Matokeo Inaonekana Ya Kawaida.Yamekuwa hayo tena jamani? Mara hii mmesahau Ubuntu Botho?
Nashangaa sana eti ubora ubora gani sasa?Caf champions league wana mafanikio gani recently?
Hao kuongoza makundi ni kawaida yao tena huongoza kwa points nyingi sana kila msimu ila wakienda sana mwisho nusu fainali na ujue walimuokota kibonde robo fainali vinginevyo robo tu shughuli yao imeisha
Timu haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa toka mwaka 2016 unadhani ni kwa bahati mbaya.
Al Ahly na Wydad wamegawana vikombe kwenye fainali tano za mwisho yeye hajaweza kuchallenge hata mwaka mmoja zaidi ya kumkamia Al Ahly tu kwenye makundi akipangwa nae
Timu ya mchongo kinoma kila mwaka wanaipa hype unaweza kudhani ni mabingwa watetezi kumbe ni timu ya kuishia robo na nusu fainali kila mwakaUnaonesha hujui kitu aiseeh
Kucheza ulaya kitu gani?
Mbona sasa hao South walimtoa Morocco ambayo ndiyo inaongoza kuwa na wachezaji wanaocheza ulaya kwanza wao wapo karibu na ulaya?
Walimpiga ahly ahly 5 halafu wakaenda wapi? Hata msimu ule waliomfunga tena 5 wakaja kutolewa wao na petro Luanda 🤣🤣
Hiyo team ni ya mchongo hype nyingi angalia kama ahly ahly wanavyofanya wale jamaa .
Wanacheza kulingana na stage sio hao matapeli kila msimu wanaishiaga hapa nusu ...
Hakuna kitu hapo licha ya uwekezaji wao mkubwa bado output zero ..
Na wataendelea kuishia hapa hapa ..
UmemalizaTimu ya mchongo kinoma kila mwaka wanaipa hype unaweza kudhani ni mabingwa watetezi kumbe ni timu ya kuishia robo na nusu fainali kila mwaka
Hata huo mwaka walimpiga Al Ahly 5 kwenye group stage waliishia nusu fainal wenzao wakienda kubebs ndoo
Yaani timu toka 2016 mafanikio yake makubwa champions league ni kumfunga 5 Al Ahly.
Kuliko hao wapuuzi bora hata kumwamini Wydad au Esperance au hata Mazembe wanaweza kufanya kitu sio hao timu ya mchongo na wachezaji wa gharama kubwa wenye uwezo wa kawaida.
Na kama Wydad atazidi kuyumba kwenye soka la Afrika Al Ahly atatawala sana hao Wydad kidogo wakiwa kwenye ubora wao ndio huwa wanaweza kumpa challenge angalau kwenye 5 wakaokota 2
Mzize ana la kujifunza hapaWazuri kwenye kumiliki mpira ila sio wazuri kweny kucreate nafasi. Yanga basi tu mastriker walizingua ila walipata nafasi tatu za wazi za kumaliza mchezo. Esp hawajapata nafasi nyingi ila nafasi zao chache wamezitumia vizuri.
Kucheza ulaya kitu gani?
Mbona sasa hao South walimtoa Morocco ambayo ndiyo inaongoza kuwa na wachezaji wanaocheza ulaya kwanza wao wapo karibu na ulaya?
Walimpiga ahly ahly 5 halafu wakaenda wapi? Hata msimu ule waliomfunga tena 5 wakaja kutolewa wao na petro Luanda 🤣🤣
Hiyo team ni ya mchongo hype nyingi angalia kama ahly ahly wanavyofanya wale jamaa .
Wanacheza kulingana na stage sio hao matapeli kila msimu wanaishiaga hapa nusu ...
Hakuna kitu hapo licha ya uwekezaji wao mkubwa bado output zero ..
Na wataendelea kuishia hapa hapa ..
AFL ni bonanza lililochangamka tu pale ndiyo maana watu walifuata pesa tu
Kumbuka hawa unaosema bora walifunga mara ya mwisho mechi na mazembe makundi kule hadi sasa hawafungi mpaka wametolewa hata yanga nako wameshindwa kutufunga kweli na ahly ahly alimpiga 5?
Caf champions league wana mafanikio gani recently?
Hao kuongoza makundi ni kawaida yao tena huongoza kwa points nyingi sana kila msimu ila wakienda sana mwisho nusu fainali na ujue walimuokota kibonde robo fainali vinginevyo robo tu shughuli yao imeisha
Timu haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa toka mwaka 2016 unadhani ni kwa bahati mbaya.
Al Ahly na Wydad wamegawana vikombe kwenye fainali tano za mwisho yeye hajaweza kuchallenge hata mwaka mmoja zaidi ya kumkamia Al Ahly tu kwenye makundi akipangwa nae
Kama vigezo vya timu kuwa bora ni hivyo mlivyovisema ninyi tu basi hata yanga hawastahili kujiita timu bora, kwa sababu hawajafanya na wala hawajafikia hata nusu ya waliyofanya na walipofikia mamelodi, sasa kama kwa vigezo hivyo mamelodi inaitwa mbovu je yanga itaitwaje hapoAFL ni bonanza. Ni mashindano ambayo timu zinashiriki kwa kualikwa.
Na hizo timu ni 8 tu. Mashindano ya timu 8 tu . Hayafai kuwa kigezo cha kupima ubora wa timu.
Mashindano ya caf champions league yanashirikisha timu zaidi ya 50. Na hizo timu zinapatikana kwa kigezo xha kuwa bingwa kwenye ligi zao ama kuwa mshindi wa pili. Hivyo hata timu ndogo kama biashara utd ama Tanzania prison huwa zinashirikishwa kwenye kupatikana kwa washiriki wa caf champions league
Timu ya mchongo kinoma kila mwaka wanaipa hype unaweza kudhani ni mabingwa watetezi kumbe ni timu ya kuishia robo na nusu fainali kila mwaka
Hata huo mwaka walimpiga Al Ahly 5 kwenye group stage waliishia nusu fainal wenzao wakienda kubebs ndoo
Yaani timu toka 2016 mafanikio yake makubwa champions league ni kumfunga 5 Al Ahly.
Kuliko hao wapuuzi bora hata kumwamini Wydad au Esperance au hata Mazembe wanaweza kufanya kitu sio hao timu ya mchongo na wachezaji wa gharama kubwa wenye uwezo wa kawaida.
Na kama Wydad atazidi kuyumba kwenye soka la Afrika Al Ahly atatawala sana hao Wydad kidogo wakiwa kwenye ubora wao ndio huwa wanaweza kumpa challenge angalau kwenye 5 wakaokota 2
Yanga wamezuia wasifungwe na mamelodi sawaKama vigezo vya timu kuwa bora ni hivyo mlivyovisema ninyi tu basi hata yanga hawastahili kujiita timu bora, kwa sababu hawajafanya na wala hawajafikia hata nusu ya waliyofanya na walipofikia mamelodi, sasa kama kwa vigezo hivyo mamelodi inaitwa mbovu je yanga itaitwaje hapo
Unajua mimi nilidhani labda kitendo cha yanga kujitahidi kutofungwa na mamelodi home and away, kunaonesha kuwa yanga imeadvance na kuwa timu kubwa kwa sababu imecheza na timu kubwa na haijafungwa, lakini badala yake mnadai eti mamelodi wabovu kisa wameshindwa kuwafunga yanga je hii inamaanisha nini
Yani hii maana yake ni kwamba yanga wenyewe hawajiamini wanajijua kwamba ni timu mbovu, na hawakutegemea kutoboa kwa mamelodi ndio maana walipotoboa, wakaona kwamba kumbe mamelodi ni wabovu kama wao tu na si kwamba wao ndio wameufikia ubora wa mamelodi
Haya huyo wa mamelodi anayelazimisha ukubwa tunamuweka wapi jamani?Katika hizo 5 za mwisho. Esperence na yeye aliokota ubingwa.
Esperence Sio mnyonge kwenye kutwaa mataji ya ligi ya mabingwa Africa
Haya huyo wa mamelodi anayelazimisha ukubwa tunamuweka wapi jamani?