Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ni team tishioMamelodi mtoto mdogo sana .
Hata ENYIMBA tu hamfikii.. unaanzia wapi kumuweka level za wakubwa
Tunazungumzia Champios League michuano inayotoa bingwa wa Afrika anayekwenda kuwakilisha bara zima kwenye Fifa club world cup michuano inayomfanya Mamelod kila mwaka asotee robo fainali ama nusu kutokana na vigogo anaokutana nao tena wakiwa serious kuna kitu wanatafuta, sasa unakuja unazungumzia AFL michuano ambayo ukitoa hela ya mshindi hamna purpose wala heshima yoyote kwa timu iliyoshinda ulitaka Al Ahly na Wydad watoe macho kihivyo?AFL ni bonanza. Ni mashindano ambayo timu 8 tu zinashiriki kwa kualikwa.
Na hizo timu ni 8 tu huwa zinaalikwa tu hakuna qualification maalumu. Mashindano ya timu 8 tu . Hayafai kuwa kigezo cha kupima ubora wa timu.
Mashindano ya caf champions league yanashirikisha timu zaidi ya 50. Na hizo timu zinapatikana kwa kigezo xha kuwa bingwa kwenye ligi zao ama kuwa mshindi wa pili. Hivyo hata timu ndogo kama biashara utd ama Tanzania prison huwa zinashirikishwa kwenye kupatikana kwa washiriki wa caf champions league
Azam iliyochangamkaMamelodi ni timu changa, pale South Africa timu kubwa ni Orlando pirates na Kaiser chiefs
Yeah kwenye 5 za mwishoKatika hizo 5 za mwisho. Esperence na yeye aliokota ubingwa.
Esperence Sio mnyonge kwenye kutwaa mataji ya ligi ya mabingwa Africa
Si ndio maana nikasema mamelodi kushindwa kuwafunga yanga maana yake yanga wamefikia ubora wa mamelodi, sasa mbona hamueleweki amueni moja basi ninyi ni bora au wabovu maana ninyi mnajiita timu bora ilihali hamjafikia walipofikia mamelodi ambao mnawaita wabovu, yani yanga ni kama mna vigezo vyenu wenyewe vya kurate ubora na ubovu wa timuYanga wamezuia wasifungwe na mamelodi sawa
Na mamelodi pia wamezuia wasifungwe na yanga pia
Tunaangalia takwimu za game nanj alipata nafasi nzuri?
Yanga wamezidiwa na mamelodi kwenye uwekezaji lakini uwanjanj hawakufunga goli moja hao wasauzi
Kama mamelodi ni bora sana mbona walishindwa kuifunga yanga mbovu?
Team bora hushinda match haijalishi ni ngumu vipi? Wao walishindwa ninj kuifunga yanga mbovu?
Al ahly aliifunga yanga moja wao walishindwa ninj kuifunga yanga mbovu?
Mpira wenu wa mdomoni na ujanja ujanja
Ubora gani? Hebu utaje .ninyi mnajiita timu bora ilihali hamjafikia walipofikia mamelodi
Nadhani nyie ndiyo mna vigezo vyenu ila ukweli upo waziyanga ni kama mna vigezo vyenu wenyewe vya kurate ubora au ubovu wa timu
Aliongea kama raisi wa vilabu Africa sio kama rais wa yangaNakiri kwamba Hersi alizingua kusema fainal ni Al ahly na Mameloids
Tuweke akiba ya maneno! Ningekua ni mimi ningejibu
' Timu yoyote iliyojipanga vyema inaweza kucheza fainal inaweza ikasa ni Al ahly, Yanga, Mamelod hata TPM'
Hersi pia alichangia kuwakuza sana wale Simba B
Msisitizo : Mpira wa Africa una chezwa home zaidi.Mpira wa Africa una chezwa home zaidi
Kibonde huyu anaetupiga kila siku?Caf champions league wana mafanikio gani recently?
Hao kuongoza makundi ni kawaida yao tena huongoza kwa points nyingi sana kila msimu ila wakienda sana mwisho nusu fainali na ujue walimuokota kibonde robo fainali vinginevyo robo tu shughuli yao imeisha
Timu haijawahi kucheza fainali ya klabu bingwa toka mwaka 2016 unadhani ni kwa bahati mbaya.
Al Ahly na Wydad wamegawana vikombe kwenye fainali tano za mwisho yeye hajaweza kuchallenge hata mwaka mmoja zaidi ya kumkamia Al Ahly tu kwenye makundi akipangwa nae
Simba alipigwa nje ndani mkachonga sana, ohh tumebaki mabingwa watupu Sasa huyo bingwa wako nae kapigwa nje ndaniNadhani nyie ndiyo mna vigezo vyenu ila ukweli upo wazi
Mnahype sana vitu kuliko uhalisia.
Tukumbuke kabla yanga hawajakutana na mamelodi.
Kauli zenu zilikuwa
"Alliende thamanj yake unapata kikosi kizima yanga"
"Yanga akitoboa sana anakula 5"
"Mamelodi walishampiga Al ahly 5"
"Kuna mokoena pale kati yanga watajjta"
"Pale Loftus stadium huwaga hatoki mtu"
Wakati hawakupata hata goli moja wajameni ni penati zikawaokoa sababu ya sisi kushindwa kutumia nafasi za wazi kabisa ambazo wao hawakupata ..
Wakubwa wako final kama unavyoona haya hao mamelodi unaodai wakubwa wako wapi????
Sio hersi tu...watanzania karibu wote mliwatukuza kablaNakiri kwamba Hersi alizingua kusema fainal ni Al ahly na Mameloids
Tuweke akiba ya maneno! Ningekua ni mimi ningejibu
' Timu yoyote iliyojipanga vyema inaweza kucheza fainal inaweza ikasa ni Al ahly, Yanga, Mamelod hata TPM'
Hersi pia alichangia kuwakuza sana wale Simba B
Wamemfunga Yanga 3-2 robo fainali. Au umesahau?Hivi walifunga lini goli nadhani mechi za mwisho makundi mpaka hapa hawajagusa wavu
Wanaopigwa nje ndani wanajulikana..Simba alipigwa nje ndani mkachonga sana, ohh tumebaki mabingwa watupu Sasa huyo bingwa wako nae kapigwa nje ndani
Timu ya mchongo kinoma kila mwaka wanaipa hype unaweza kudhani ni mabingwa watetezi kumbe ni timu ya kuishia robo na nusu fainali kila mwaka
Hata huo mwaka walimpiga Al Ahly 5 kwenye group stage waliishia nusu fainal wenzao wakienda kubebs ndoo
Yaani timu toka 2016 mafanikio yake makubwa champions league ni kumfunga 5 Al Ahly.
Kuliko hao wapuuzi bora hata kumwamini Wydad au Esperance au hata Mazembe wanaweza kufanya kitu sio hao timu ya mchongo na wachezaji wa gharama kubwa wenye uwezo wa kawaida.
Na kama Wydad atazidi kuyumba kwenye soka la Afrika Al Ahly atatawala sana hao Wydad kidogo wakiwa kwenye ubora wao ndio huwa wanaweza kumpa challenge angalau kwenye 5 wakaokota 2