Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
akikujibu unitag mzee baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikujibu unitag mzee baba
Utopolo mmeacha kushangilia timu yenu, kupokea timu wageni sasa mmegeuka wapiga ramli mbona haujatuwekea na ile yanga bingwa msimu huu.
Kuna mambo yalikosewa ndio maana yakatokea kinyume chake.Ligi ya UEFA 2021 PSG watacheza final na timu gani vile,embu tukumbushane kidogo ndugu yangu?
Ramli zilikataa kuna mambo nilikosea mkuu.
Mechi za knockout hazina kanuni. Zisikie tu. Hapo ni yeyote ataingia bila kutarajiwa. Inategemea umeamkaJeHabari!
Nimerudi tena baada ya kimya kirefu juu ya chambuzi za soccer, twende pamoja. Hadi sasa ni hatua ya robo fainali ya CAFCL ambapo timu nane bora ndio zimebaki hadi sasa ambazo ni Wydad Casablanca, Mamelodi Sundowns, Simba Sc, Esperence, Kaizer Chiefs, Al Ahly, Mc Alger & CR Belouizdad.
Haya twende taratibu kabisa hapa maana kama ratiba inavyotarajiwa kuanza kesho na siku zinazofata.
Upande wa Mc Alger Vs Wydad Casablanca mechi hii ni nyepesi sana kwa hawa Wamorocco hivyo Wydad Casablanca atapita kutinga nusu fainali.
Kaizer Chiefs Vs Simba Sc hapa mechi wengi watampa nafasi Simba Sc kutinga nusu fainali ila ukweli ni kwamba hapa ni 50/50 yeyote anaweza kutinga nusu fainali kati ya hawa wawili.
Hivyo basi nusu fainali kwa upande huu Wydad Casablanca atakutana na Simba Sc/Kaizer Chiefs ila mambo yatakavyokuwa ni rahisi sana hapa. Wydad Casablanca kwa sasa kama umetazama mechi zake amekuwa si wakutisha sana hivyo basi kati ya Simba Sc/Kaizer Chiefs ndio ataingia Fainali huku Wydad Casablanca atakupiliwa nje ya mashindano katika hatua hiyo ya nusu.
Upande wapili wa Shilling mambo ni mepesi kwa bingwa huyu Mamelodi Sundowns Fc maana ataanza kwa kumpiga nyingi Al Ahly (Bingwa mtetezi) na kutinga nusu fainali ambapo atakutana na Esperence ambaye atakuwa amemtoa Mc Alger.
Mechi ya Mamelodi Sundowns Fc Vs Esperence itakuwa rahisi mno kwa Wasandawe hawa kutoka South Africa.
Fainali itakuwa ni Mamelodi Sundowns Fc Vs Simba Sc/Kaizer Chiefs na mambo yatakuwa mepesi zaidi na zaidi kwa Mamelodi Sundowns.
Hivyo namaliza kwa kusema pongezi kwa Mamelodi Sundowns Fc mabingwa wa CAFCL 2021.
Mtasema huyu mpiga ramli vipi tena hizi ni hesabu rahisi kabisa kwa Mamelodi Sundowns Fc japo karata zangu za uzi uliyopita ulibuma vibaya mno.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu.
Mambo yalikwenda mlama kuna vitu nilikosea.Bado hujakoma kupiga Ramli sio? PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021
Utabiri unatakiwa uwekwe katika raundi ya awali kabisa wakati akina Yanga wanashiriki. Mtu umeona mwelekeo halafu unajidai eti kutabiri, toa unyani na u mbwa wako hapa
Tatizo umekariri. Ahly atamtoa mamelod sundowns. Fainali ni simba na Ahly na yeyote kati ya hao atabeba ndoo.
Shukrani sana ni wakuzika kabisa.Simba anafia bondeni
Huu ndio ukweli ambao hatuujui?Huu ndio ukweli ambao watu hawaujui fainali ni
Simba vs Al Ahly
Sawa Mkuu kila la heri na baraka kwenye ramli hii. Mie niko na mnyama hopefully hatutakuwa na majeruhi ya kutisha.
Pole sana mkuu.
Huku kwetu mtaani wanasema tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana!
Upande wa pili wa Shilling acha tusiufunue mkuu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule wa chato siyo?
Alifungwa goli mbili bila ugenini huku mambo naona bado kwa mpira nilivyoutazama.vp Sudowns huko?
Sawa sawa mtabiri mbobeziHabari!