Mamelodi Sundowns FC watakuwa Mabingwa Wa CAF Champions League 2021

Mechi za knockout hazina kanuni. Zisikie tu. Hapo ni yeyote ataingia bila kutarajiwa. Inategemea umeamkaJe
 
Utabiri unatakiwa uwekwe katika raundi ya awali kabisa wakati akina Yanga wanashiriki. Mtu umeona mwelekeo halafu unajidai eti kutabiri, toa unyani na u mbwa wako hapa

Sawa mkuu na imani umekwisha ondoka!
 
Uliposema Simba anakwenda Robo ,hapo upo sawasawa
 
Bora mmeanza kuipa heshima Simba maana kila hatua mlikuwa mnaibeza tu
 
Pole sana mkuu.

Huku kwetu mtaani wanasema tatizo marehemu alikuwa na mdomo sana!
Sawa Mkuu kila la heri na baraka kwenye ramli hii. Mie niko na mnyama hopefully hatutakuwa na majeruhi ya kutisha.
 
Reactions: BAK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yule wa chato siyo?
Upande wa pili wa Shilling acha tusiufunue mkuu.

Wanasema funika kombe mwanaharamu apite kiongozi.
 
Reactions: BAK
Sawa sawa mtabiri mbobezi
 
Mnapenda sana kusifia vitu vya watu sijui kwanini...Eti Mamelodi Sundowns ni Mabingwa... Ubingwa huo Kwio[emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…