Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Mkuu ndo maana hata fainali zao hazijulikani coz wanaonekana hawapo seriouz hawa CAF.Ushamba sana huu wa mechi mbili za fainali
Hivi Mazingira yetu huku tunakotaka kujitoa ICC yanaruhusu kuwa na final kama ile ya UEFA?Ushamba sana huu wa mechi mbili za fainali
Hii CAF imeshikwa na waarabu wa kaskazini,hivyo waliweka hyo sheria ili kama ikitokea wanacheza nje na kwao watengeneza mazingira ya ushindi kwao, lkn sasa hivi mpira umebadilika popote unapigwa.Mkuu ndo maana hata fainali zao hazijulikani coz wanaonekana hawapo seriouz hawa CAF.
Ni USD 1.5mil au bil 3 na ushee za kibongoMi nmeiangalia hyo 1.5 billion hv mamelodi ina wachezaj wangap vile
So kwa team ya watu 30 ni 100 million per head dadekiiiNi USD 1.5mil au bil 3 na ushee za kibongo
Mkuu ndo maana hata fainali zao hazijulikani coz wanaonekana hawapo seriouz hawa CAF.
Mazembe anamaliza final na mo bej home hivyo basi sioni upendeleoWaarabu wanaimiliki CAF.
Kwa soka walilotandaza hawa jamaa.. Inaonekana watatusumbua sana katika mbio zetu za kutwaa CAF Champions league, 2018.Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini jana ilitwaa ubingwa wa soka Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuishinda Zamalek ya Misri 3-1.
Pamoja na jana kulala kwa bao moja kwa bila nchini Misri,Mamelodi walilinda vyema ushindi wao wa 3-0 walioupata nyumbani kwao Afrika ya Kusini.
Sasa ni rasmi Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini ni mabingwa wapya wa klabu bingwa barani Afrika.
=======
Patrice Motsepe, mmiliki wa Mamelodi Sundowns amesema wachezaji wa klabu hiyo watagawana USD 1.5m zitokanazo na kushinda Klabu Bingwa Afrika.
Hivi kwa nn kila mechi ya mwisho kama inahusisha nchi za Kaskazini huwa inachezewa huko kwao?
Mazembe anamaliza final na mo bej home hivyo basi sioni upendeleo
NotedKwenye rank za CAF TP Mazembe yupo juu kuliko MO Bejaia ndio maana anaanzia ugenini