Mamelodi Sundowns mabingwa wapya Afrika, wachezaji kugawana Million 1.5 USD

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini jana ilitwaa ubingwa wa soka Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuishinda Zamalek ya Misri 3-1.

Pamoja na jana kulala kwa bao moja kwa bila nchini Misri,Mamelodi walilinda vyema ushindi wao wa 3-0 walioupata nyumbani kwao Afrika ya Kusini.

Sasa ni rasmi Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini ni mabingwa wapya wa klabu bingwa barani Afrika.

=======
Patrice Motsepe, mmiliki wa Mamelodi Sundowns amesema wachezaji wa klabu hiyo watagawana USD 1.5m zitokanazo na kushinda Klabu Bingwa Afrika.
 
Mkuu ndo maana hata fainali zao hazijulikani coz wanaonekana hawapo seriouz hawa CAF.
Hii CAF imeshikwa na waarabu wa kaskazini,hivyo waliweka hyo sheria ili kama ikitokea wanacheza nje na kwao watengeneza mazingira ya ushindi kwao, lkn sasa hivi mpira umebadilika popote unapigwa.
 
Mi nmeiangalia hyo 1.5 billion hv mamelodi ina wachezaj wangap vile
 
Hivi kwa nn kila mechi ya mwisho kama inahusisha nchi za Kaskazini huwa inachezewa huko kwao?
 
Mkuu ndo maana hata fainali zao hazijulikani coz wanaonekana hawapo seriouz hawa CAF.

Home and away ndio utaratibu bora kwetu sisi Africa.Ulaya pekee ndio mfumo wa "neutral ground " unawafaa Copa Liberatos ya South America wanatumia mfumo wa home and away
 
Timu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini jana ilitwaa ubingwa wa soka Afrika kwa ngazi ya klabu kwa kuishinda Zamalek ya Misri 3-1.

Pamoja na jana kulala kwa bao moja kwa bila nchini Misri,Mamelodi walilinda vyema ushindi wao wa 3-0 walioupata nyumbani kwao Afrika ya Kusini.

Sasa ni rasmi Mamelodi Sundowns ya Afrika ya Kusini ni mabingwa wapya wa klabu bingwa barani Afrika.

=======
Patrice Motsepe, mmiliki wa Mamelodi Sundowns amesema wachezaji wa klabu hiyo watagawana USD 1.5m zitokanazo na kushinda Klabu Bingwa Afrika.
Kwa soka walilotandaza hawa jamaa.. Inaonekana watatusumbua sana katika mbio zetu za kutwaa CAF Champions league, 2018.
 
kwani mzigo unaotelewa na caf kwa bingwa ni shingapi
 
Hivi kwa nn kila mechi ya mwisho kama inahusisha nchi za Kaskazini huwa inachezewa huko kwao?

Huwa wanaangalia timu iliyo juu kwenye rank za CAF ndio inaanzia ugenini
 
Back
Top Bottom