Mamelodi Sundowns mabingwa wapya Afrika, wachezaji kugawana Million 1.5 USD

Acha kuota ndoto za mchana mwakani Yanga ndio mwakilishi kutoka Tanzania
Mmemtimua yule mzungu kimajungu,yule ndiyo kocha angewafikisha hatua mzuri,lakini mnaruka nnya mnakanyaga mikojo...
 
Mi nmeiangalia hyo 1.5 billion hv mamelodi ina wachezaj wangap vile
USD 1.5M ni sawa na 3BN Tshs...hata kama timu ina wachezaji 30, maana yake kila mmoja atapata million 100 za kiTanzania. Zinatosha sana kwa mazingira ya kiafrika.
 
Acha kuota ndoto za mchana mwakani Yanga ndio mwakilishi kutoka Tanzania
Tuna mwaka mmoja zaidi wa kuendelea kuaibika katika uga wa kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…