muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Mwakani Mnyama atalinyakua...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakani Mnyama atalinyakua...
Mmemtimua yule mzungu kimajungu,yule ndiyo kocha angewafikisha hatua mzuri,lakini mnaruka nnya mnakanyaga mikojo...Acha kuota ndoto za mchana mwakani Yanga ndio mwakilishi kutoka Tanzania
USD 1.5M ni sawa na 3BN Tshs...hata kama timu ina wachezaji 30, maana yake kila mmoja atapata million 100 za kiTanzania. Zinatosha sana kwa mazingira ya kiafrika.Mi nmeiangalia hyo 1.5 billion hv mamelodi ina wachezaj wangap vile
Tuna mwaka mmoja zaidi wa kuendelea kuaibika katika uga wa kimataifa.Acha kuota ndoto za mchana mwakani Yanga ndio mwakilishi kutoka Tanzania