Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

Habari zenu The Brazilians.
jana tuliibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya maritzburg united katika michuano ya Nedbank cup.
mabao yetu yote mawili yalifungwa na Thembankosi Lorch.
 
Sijui huko south kama kuna mtu anaijua hata yanga na simba, hadi thread ya timu!

Subiri hiyo siku utaifuta hii mada 😁
 
Back
Top Bottom