Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hongera sanaππππYaan Mokoena ni kaka angu kwa baba mkubwa.
Zwane ni binamu angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maseko ni ex wangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwe na wasiwasi mrembo,hata Mamelody wabaki8 uwanjani Yanga hawezi pata hata sareMaseko apone haraka sanaaa, plz
Kuna jambo tar 30 anatakiwa kulifanyaaaa.
HongereniMpaka sasa tumecheza mechi 42 za ligi kuu bila kupoteza.
FT Mamelod 2-0Mchezo umesimamishwa kutokana na hali ya hewa kutokuwa rafiki.
Tunajikita kileleni kabisaπ₯FT Mamelod 2-0
huo haukua mchezo wa ligi bali kombe la FA,ni mchezo wa knockoutTunajikita kileleni kabisaπ₯
Sasa imagine mtoto thapelo maseko namba 17 mgongoni,na kiwango chote kile anakula mbao ndefu,akati akija huku Tz ndio staa zaidi ya chama na pakomeMasekooooooooo
Kwani Al ahly nao wanashiriki MAPINDUZI CUP?Yanga and al ahly final
Kwani mamelodi anashiriki mapinduzi?Kwani Al ahly nao wanashiriki MAPINDUZI CUP?
hata mimi nimesikia ivo pia, tusubiri waliopa TZ waje watupatie mrejeshoMliopo huko Tanzania naskia Utopolo wamekandwa mbili, bado na sie tuje tupige hapohapo kwenye mshono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpee salamuu majeruhi wako, mudau ndo atamvunja uti wa mgongo awe kiweteee.Yeye anamjua pacome fundii wa mpira huyooo