Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Msimamo kundi hili.
Wote wamefungana point 04 na Wana match 03 kila mmoja.

Next match
Pyramid fc vs Mamelodi Sundowns

Tp mazembe vs fc Nough............😁

nani ata qualify next stage tupo hapa tutafatilia sote.

wasalaam na wikiendi njema kwenu nyote.πŸ‘‹
Ahsante br kiwatengu πŸ™πŸ™
 
🫑 🫑 🫑.
Inabidi tumuulize Maxence Melo kwanini uzi wetu huu umenyimwa beji ya LIVE, na umwekuwa live kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho.
 
[emoji2][emoji2][emoji106]
Hongera sana mkuu .
Nimekukubali bure , nakuomba hata kwenye NBC uwepo hasa kwa mechi za yanga na simba wakiwa wanacheza .

Ila umejua kunipa presha japo najua haukulijia hilo maana mara usema chuma shalulile naruka juu mara useme OFFSIDE basi napoa zangu ila hongera sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hahah Hili kundi sio la kubetia Chief maana wote wana uchu wa kuchukua Kombe..

Bora Ubetie la Yanga na Simba ambalo wengi wana ndoto ya kufika Robo au nusu tu [emoji28][emoji28]
Kwa Simba na Yanga hapajaniacha salama .
Itoshe kusema mkuu hii wiki nimelipa hela za mhindi nilizokula

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
shukran sana kiongozi πŸ™πŸ™πŸ™ na pole kwa changamoto.
kwenye NBC maripota wapo wengi mkuu na ushindani unakua mwingi tofauti na match kama ya Leo inarahisisha mtu kufatilia zile updates vizuri.

Haha ofcourse yalimwagwa maji kutoka pembeni kule kwa namba 7 nafikiri alikua ni Mudau yule alihamia kucheza upande wa kulia toka kushoto huku.........ukadeflect kidogo kwenye mwili wa mchezaji wa pyramid na kuja kwenye 6 pale ukamkuta shalulile akapiga half-tikitaka huwa tumezoea kusema na kufunga.

Kibendera akanyanyua flag kwamba wakati Mpira unapigwa kabla ya kudeflect peter alikua offside,......na ukifatilia ilikua ni sahihi. Tofauti na hapo lilikua bonge la goli.

Ahsante sana kwa mara nyingine mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…