Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π«‘ π«‘ π«‘.Kwa kifupi sana 90 mins stats
Shots on target
Mamelodi Sundowns 3-0 pyramids
Total shots
Mamelodi Sundowns 10-8 pyramids
Corner kick
Mamelodi Sundowns 7-5 pyramids
Offside
Mamelodi Sundowns 4-4 pyramid
Accurate passes
Mamelodi Sundowns 488-170 pyramid
Yellow card
Mamelodi Sundowns 1-1 pyramid
Red card
1 kwa pyramid.
πππYes, hii game hawakutakiwa kupoteza.
Wamejiwekea mazingira magumu kidogo kwenda kuwashinda Pyramids kwao. Japo inawezekana sana!!
Game ilikuwa nzuri na yenye mvuto.
Twende Ulaya sasa tukawazomee Man City na Chelsea.
Chief , acha tu yaani hili kundi sina bahati nalo , 80 yangu imeondoka naionaHili kundi nimelipenda yaani Wote wana Point nne sasa [emoji28][emoji28]
Kundi la KifoHili kundi nimelipenda yaani Wote wana Point nne sasa π π
Hongera sana mkuu .[emoji2][emoji2][emoji106]
ulimuua Pyramids,Chief , acha tu yaani hili kundi sina bahati nalo , 80 yangu imeondoka naiona
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hahah Hili kundi sio la kubetia Chief maana wote wana uchu wa kuchukua Kombe..Chief , acha tu yaani hili kundi sina bahati nalo , 80 yangu imeondoka naiona
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Aisee xaidi ya kifo kila timu ina motoKundi la Kifo
Niliwaomba goli tu japo moja ili niendelee kutamba hapa bar ila sina namna hivi namalizia kabia kangu kamoja taratibu nianze kuviacha viwanja vya lounge ya watu[emoji2356]ulimuua Pyramids,
Ukamuua Mazembe vs Mamelodi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa Simba na Yanga hapajaniacha salama .Hahah Hili kundi sio la kubetia Chief maana wote wana uchu wa kuchukua Kombe..
Bora Ubetie la Yanga na Simba ambalo wengi wana ndoto ya kufika Robo au nusu tu [emoji28][emoji28]
Pole sana mkuu jaribu kwa man city na chelsea Ngoma ni GG leoKwa Simba na Yanga hapajaniacha salama .
Itoshe kusema mkuu hii wiki nimelipa hela za mhindi nilizokula
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nilimfuata man city ashinde kipindi cha kwanza umemuona alichofanya na sasa hivi namuona ndiyo kaamka .Pole sana mkuu jaribu kwa man city na chelsea Ngoma ni GG leo
shukran sana kiongozi πππ na pole kwa changamoto.Hongera sana mkuu .
Nimekukubali bure , nakuomba hata kwenye NBC uwepo hasa kwa mechi za yanga na simba wakiwa wanacheza .
Ila umejua kunipa presha japo najua haukulijia hilo maana mara usema chuma shalulile naruka juu mara useme OFFSIDE basi napoa zangu ila hongera sana
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
πππPole kamanda, yote ni lifeNiliwaomba goli tu japo moja ili niendelee kutamba hapa bar ila sina namna hivi namalizia kabia kangu kamoja taratibu nianze kuviacha viwanja vya lounge ya watu[emoji2356]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Gumu ukipigwa, unapunguza chance yakuendelea.Kundi gumu
Chelsea kapigwaPole sana mkuu jaribu kwa man city na chelsea Ngoma ni GG leo
Next game zitaweka mambo Wazi.Aisee xaidi ya kifo kila timu ina moto