Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mpira umeanza na Pyramids wanapiga moja kwa Moja golini inakuwa goal kick
 
Pyramids wakiwa nje ya Egypt huwa wanapigika tu
 
4'
Game On.
Sundowns wanakuwa wameotea hapa.
Mpira ni wa moto
 
Wazulu wanajaribu kuwa wakali kidogo,
Wanaijua tabia ya waarabu yakudeka.
 
Back
Top Bottom