Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

8'
Lakay, Anapewa kadi ya Njano ya mapema kabisa.
Amecheza rafu mbaya kidogo.

Mpira unapigwa kuelekea Sundowns
 
Updates ndio zinaufanya uzi wetu kuwa LIVE
 
Dakika 12'
Sundowns wanapata faulu eneo lakaribia na kona.
Inapigwa haileti madhara.
 
Mimi sio expert mkuu ila nipo nafatilia game hii hapa na napenda wadau wapate updates kama unavyofanya .,na appreciate.👏
Goal...
Ila lilitanguliwa ba Faulu.
Sundowns wajiangalie
 
13'
pyramid wanapata bao hapa lakini refarii anapuliza kipyenga kuashiria faulo ilitendeka kwa mchezaji wa Mamelodi Sundowns - mudau kabla ya kufunga bao.
 
Dakika 15'
Sundowns wanapata kona ya kwanza hapa.
Inapigwa inapanguliwa na Kipa
 
20'
Kila timu inajitahidi inapopoteza Mpira kurudi kwa haraka na kuwa nyuma ya mpira.
 
21'
pyramid wote wapo nyuma ya mstari wa katikati ...Mpira ule umepigwa na kumkuta goalkeeper peke yake wa Mamelodi Sundowns.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…