Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

23'
Hatari katika lango la pyramid Mpira ule
Goal kick ameshindwa kuupata mokwena ilikua long pass Ile.
 
24'
mamelod wanapiga long range shoot nje ya 18 ...mita kama 25 ivi .....linababatiza mchezaji wa pyramid ....
Game on ..
 
Kumbe Mayele ameshindwa kwenda South Africa kwasababu yakukosa VISA...

Balaa hili
 
26'
Foul wanapata Mamelodi Sundowns mita kama 23-25 toka kwenye lango la pyramid pembeni kidogo mwa Kona ya box
 
28'
Corner kick inapigwa na Mamelodi Sundowns

kuna tafran kidogo na kusukumana refarii anaweka sawa.

Inapigwa Ile , Mamelodi Sundowns wanawin kucheza header Ile ila ni goalkick Mpira umepita juu ya mtambaa panya.
 
30'
Foul anachezewa Mudau eneo la karibu na kibendera Cha goal lao Mamelodi Sundowns....

Goal keeper wa Mamelodi Sundowns anauanza Mpira ule kwa kupiga mbele.
 
31'
Hatari kwenye lango la pyramid ....wanaokoa
Mpira unadakwa na Mamelodi Tena anachezewa foul eneo la katikati kwa mbele mchezaji wa Mamelodi Sundowns ni foul
 
33'
Umepigwa Mpira ule anagonga kichwa mchezaji wa Mamelodi Sundowns...goalkeeper wa pyramid anadaka.
On target kwa mamelodi Sundowns
 
33'
Foul Mamelodi wamecheza kwa mchezaji wa pyramid
Anagangwa gangwa kidogo .
Walimu wanapata muda wa kuongea kidogo na wachezaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…