Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

50'
Mpira umechangamka kidogo mwanzoni mwa hiki kipindi Cha pili.
Kazi kweli kweli......
 
51'
Hatari kuleee golini mwa pyramid ,shalulile anaingia pale .....wanauwahi mabeki wa pyramid wanautoa ni corner kick
 
52'
Corner kick kwa mamelodi kwenda kwa pyramid

Hatari kuleee ,,,,header yake inakwenda nje na ni goalkick.
 
Aiseeee...🀣🀣🀣
 
54'
Hatari pale golini mwa pyramid
Goalkeeper anaunyaka Mpira ule ,unamtoka anaunyaka Tena almanusra asababishe balaa hapa πŸ˜ƒπŸ™Œ
 
56'
Hatari pale alelli ana shoot nje ya 18. Pasi toka kwa mokwena
Goal kick
 
57'
Mamelodi Sundowns wanashambulia hapa ....upande wa kulia anajikwa mwenyewe maseko ....counter attack hapa hatariiiiiiiiii OFFSIDE pyramid.
 
58'
Penetration pass Ile kwenda kwa shalulile .....
Unakua mwingi umetoka ni Goalkick.
 
Goguryeo apewe maua yake.
Ametisha kwa updates hapa JF.
Napendekeza huyu jamaa awe JF moderator wa live updates na alipwe posho kabisa.
 
59'
Ayende anachezewa faulo eneo la katikati pale.
Mamelodi Sundowns hawana muda wa kupoteza washaanza Mpira ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…