Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

71'
Ulipigwa Mpira hapa ...mokwena akaleta mzaha mzaha .......mchezaji wa pyramid akamvizia mokwena akapita kwenye makwapa yake akapita na ule Mpira kama mwewe....... akaingia nao kwenye 18 akitokea pembeni .......kipa akabana mwamba .....akampasia mwenzake bahati mbaya akaupiga na kutoka kidogo pembeni ya mwamba ......ni Goalkick.
Game on
 
Pyramid wanaforce droo kwa namna wanavyoanza kupoteza Muda.

Game ikiisha hivi, kila timu kwenye kunda A watakuwa na Alama 4.
 
73'
Throw in Mamelodi Sundowns to pyramid.
Wana control wao kwenda kwa pyramid.
 
76'
Anachezewa foul mchezaji wa pyramid pembeni kabisa kwa kibendela kwa namba tatu wa pyramid mita kama 8 toka kwenye kibendera.
Foul kwenda kwa mamelodi Sundowns.
 
77'
Mpira umesimama
Refariii anamfata Moja ya members wa technical staff ya pyramid na kumchapa kadi ya Njano.
Game on Mamelodi Sundowns in ball control.
 
78'
shalulile anapigiwa Mpira ule ....anazidiwa ujanja .......Throw in
 
79'
Substitution kwa Mamelod Sundowns
Sirino in
Mokwena out
mburi in
.........out
 
Screenshot_20231210_173803_LiveScore.jpg

Msimamo wa Kundi, endapo matokeo yataishia hivi.
 
Back
Top Bottom