71'
Ulipigwa Mpira hapa ...mokwena akaleta mzaha mzaha .......mchezaji wa pyramid akamvizia mokwena akapita kwenye makwapa yake akapita na ule Mpira kama mwewe....... akaingia nao kwenye 18 akitokea pembeni .......kipa akabana mwamba .....akampasia mwenzake bahati mbaya akaupiga na kutoka kidogo pembeni ya mwamba ......ni Goalkick.
Game on
76'
Anachezewa foul mchezaji wa pyramid pembeni kabisa kwa kibendela kwa namba tatu wa pyramid mita kama 8 toka kwenye kibendera.
Foul kwenda kwa mamelodi Sundowns.
77'
Mpira umesimama
Refariii anamfata Moja ya members wa technical staff ya pyramid na kumchapa kadi ya Njano.
Game on Mamelodi Sundowns in ball control.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.