60'
Hatari pale golini mwa pyramid
Anacheza Mpira ule goalkeeper wa pyramid
Bado unaambaa ambaa anajigonga gonga shalulile pale ......
Foul kwenda mamelodi
66'
Game on
Mamelodi wanashambulia hapa .....
Mamelodi Sundowns wanalalamika kwamba mpira ule mchezaji wa pyramid wakati anaokoa aliucheza na mkono .
Refa amekausha.
Game on.....
67'
Mamelodi Sundowns wameweka kambia kwenye lango la pyramid wanajaribu kucheza one two mbele kidogo ya 18 ya pyramid lakini pyramid wapo makini mno .....wanaokoa
68'
Substitution pyramid
Anaingia m.fati na Abdallah said
Katoka Hafidhi na ...........
Hao wote waloingia ni wingers sijajua mwalimu wa pyramid anataka afanye Nini au anataka kutumia counter attacks.