Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Mamelodi Sundowns vs Pyramids | CAFCL | Loftus Versfeld Stadium | 10.12.2023

Modes bado mmeuacha uzi kuwa bubu na watu wanajitahidi kuruka na Live updates...
Leo kila Dakika, Kila tukio linaandikwa hapa. Paw , Active ,Cookie .

Mko kimya sana
 
Kwa kifupi sana takwimu za First Half.

Shot on target
Mamelodi Sundowns 1 - 0 pyramid fc

Total shots
Mamelodi Sundowns 3- 4 pyramid fc

Ball possession
Mamelodi Sundowns 63%-32% pyramid fc

Corner kick
Mamelodi Sundowns 4-1 pyramid fc

Yellow cards
Mamelodi Sundowns 1-0 pyramid.
 
46'
Pyramid hatari katika lango la Mamelodi Sundowns...

Anapiga shoot Lileeee deflection.......corner kick kwa pyramid..
 
Unahitajika utulivu kwa timu zote.
Atakayepigwa hapa kuchomoa itakuwa kazi sana.

Hili kundi A ni jiwe kweli kweli
 
48'
Hatari kwenye lango la pyramid
Shalulile anakwenda kule ......wanaokoa pyramid
Corner kick
 
49'
Hatari katika lango la Mamelodi Sundowns
Inambabatiza pale mchezaji wa Mamelodi Sundowns
Corner kick
 
49'
Inapigwa kuleee umeokolewa
Mamelodi Sundowns wanashambulia counter attack ....anachezewa foul Ayende mmexico yule

Ni faulo.
 
Back
Top Bottom