Mamelodi Sundowns wako Overrated

Hajacheza na kabylie inaonekana hauko serious
Ni lini simba alishawah shinda uarabun 4

Huyo mwarabu aliecheza na mamelodi ameshawai kutwaa caf champions league hata mara moja ?

Na nusu fainali hajawai kufika hata mara moja.

Huyo ni mwarabu mpuuzi hata simba angepangiwa nae angeshinda away.

Simba ana mafanikio kwenye Caf champions league kuliko huyo Mwarabu aliecheza na Mamelodi
 
Swali zuri akikujibu nitag

Mimi namjibia kisha umtag muuliza swali

Huyo mwarabu tunamuona ni mnyonge sababu hajawai kutwaa caf champions league hata mara moja.

Na pia hajawai kufika nusu fainali ya caf champions league hata mara moja.

Timu nzuri haiwezi kuwa na Cv mbovu hivyo.

Hana historia ya kufanya vizuri kwenye caf champions league ndio maana tunasema ni mwarab mnyonge
 
Belouizdad ndio vinara wa ligi ya Algeria, na pia kwenye ranking ya CAF wapo nafasi ya 8. Je ni kigezo kipi kimekufanya uone ni wanyonge?

Huyo mwarabu Belouzdad tunamuona ni mnyonge sababu hajawai kutwaa caf champions league hata mara moja.

Na pia hajawai kufika nusu fainali ya caf champions league hata mara moja.

Timu nzuri haiwezi kuwa na Cv mbovu hivyo.
 
Huyo mwarabu Belouzdad tunamuona ni mnyonge sababu hajawai kutwaa caf champions league hata mara moja.

Na pia hajawai kufika nusu fainali ya caf champions league hata mara moja.

Timu nzuri haiwezi kuwa na Cv mbovu hivyo.
Vipi kuhusu pramid?
 
Hajacheza na kabylie inaonekana hauko serious
Ni lini simba alishawah shinda uarabun 4

Kweli nilikosea Kabylie mwenyewe ni mkubwa kuliko huyo Beleuzdad.

Kabylie amewai kutwaa caf champions league mara moja. Sawa sawa na mamelodi maana na yeye mamelodi amewai kutwaa kombe hilo mara moja tu
 
Vipi kuhusu pramid?

Pyramid haipo champions league.

Usihamishe mada kwa swali la nje ya hoja yetu.

Mamelodi ndie timu iliyepangiwa mnyonge kuliko zote.

Timu zote 8 zilizopo robo fainali.

Timu ambayo ina CV ndogo kuliko wote kwenye caf champions league ni Belouzdad ambayo mamelodi kapangiwa.

Hiyo timu hata robo fainali kufika kwao ni bahati kubwa. Maana hawanaga maajabu
 
Kuwa na cv ndogo sio tija Pramid ni team ambayo haina muda mrefu tangu ianzishwe kwake lakini imewekeza kiasi kikubwa Sana kwenye kikosi chake kiasi ambacho imewasaidia angalau uwa wanafika robo final nadhani inavyozidi itafika mbali zaidi
 
Hoja yetu tunaongelea Pyramid ama tunaongelea Belouzdad ?

Jana Mamelodi amecheza na Pyramid ama Belouzdad?

Huyo Belouzdad aliefungwa na Mamelodi jana ana mafanikio gani ya kusema ni timu kali kwenye champions league
 
Huyo mwarabu Belouzdad tunamuona ni mnyonge sababu hajawai kutwaa caf champions league hata mara moja.

Na pia hajawai kufika nusu fainali ya caf champions league hata mara moja.

Timu nzuri haiwezi kuwa na Cv mbovu hivyo.
Sawa huyo kafungwa goli 4 umetumia fact ya unyonge kwavile hajawahi kubeba kombe. Mbona Al Ahly msimu huu wamefungwa magoli matano na hao hao Mamelod pamoja na kubeba kwao makombe?
 
Sawa huyo kafungwa goli 4 umetumia fact ya unyonge kwavile hajawahi kubeba kombe. Mbona Al Ahly msimu huu wamefungwa magoli matano na hao hao Mamelod pamoja na kubeba kwao makombe?

Mbona unahamisha mada kwa maswali mapya.

Mamelodi kumfunga Al ahly hajaanza leo.

Mamelodi anamfungaga Al ahly kwenye hatua za makundi kila msimu. Ila mbeleni Al ahly ndie anaenda kubeba kombe ama kufika fainali.

MAMELODI AMETWAA KOMBE LA AFRICA MARA MOJA TU.

HUKU HUYO AL AHLY AMETWAA HILO KOMBE HILO ZAIDI YA MARA 10.

HAPO NDIPO TOFAUTI INAPOKUWEPO.
 
Hoja yetu tunaongelea Pyramid ama tunaongelea Belouzdad ?

Jana Mamelodi amecheza na Pyramid ama Belouzdad?

Huyo Belouzdad aliefungwa na Mamelodi jana ana mafanikio gani ya kusema ni timu kali kwenye champions league
Dhana ulitumia kujenga hoja yako ndio nakupinga hiyo team haijafika hapo kwa bahati mbaya kijana sema wamekutana na team Bora zaidi so huwezi kusema ni team mbovu eti kwasababu imepigwa 4 mbona al ahly kala 5 na hao hao Mamelodi utasema al ahly ni team mbovu?
 
timu zote hazijafika hapo kwa bahati mbaya. Ila haiondoi ukweli hizo timu 8 zinazidiana ubora na uwekezaji.

Mamelodi amemzidi Beulzidad kwa CV ya mafanikio africa , kwa ubora na kwa uwekezaji. Sio swala la kushangaa la mamelodi kumfunga beulzdad.

Mamelodi amewai kutwaa kombe mara 1. Sio ajabu kuifunga timu ambayo haijawai kufika hata nusu fainali ama kutwaa kombe.

Ni sawa na Yanga ama Simba aifunge Kagera sugar kwake. Halafu tumsifie yanga ama simba anatisha sababu kaifunga kagera sugar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…