Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mamelodi Sundowns wako Overrated

Baada ya kupata goli la kuongoza hao Mamelodi wakakosa umakini na kufikiri kwamba mpira umeisha wakaanza ubishoo na matokeo yake ndio yakatokea ya kutokea.

Walijisahau kwamba walikuwa wanacheza na bingwa mtetezi, sasa itabidi wajipange tena upya kwa msimu ujao maanake hamna namna.

Hao wajinga tu. Msimu huu yanga tutawapiga nje ndani
 
Back
Top Bottom