Mamelodi Sundowns wako Overrated

Mkuu unajichosha bure, huyo hajui mpira kabisa. Kwanza kasema Mamelod kamfunga Kabylie. Watu wakamkosoa karudi na kauli kuwa ndio hao hao wanyonge. Kapewa fact kaanza kuhamisha magoli kwenye vikombe. Anapewa mfano wa Al Ahly kufungwa na hao hao Mamelod pamoja na kuwa na makombe. Ana hama tena mada kwa Belouizdad. Usipoteze muda wako bure huyo mpira analazimisha tu ila umemkalia kushoto kabisa. Kutaka tu naye aonekane anajua
 
Simba alishafika nusu fainali na kuchukua kombe eti 😆😆😆😆😆😆
 
Mamelodi wapo direct na kwa game moja wanaweza tengeneza nafasi hata 20

Na hawategemei mchezaji mmoja kuua game !!

Kiufupi kwa africa timu iliyokamilika ni mamelodi anaweza cheza hata epl vzr tu na wasishuke daraja!!
 
Simba alishafika nusu fainali na kuchukua kombe eti 😆😆😆😆😆😆

Hata simba ni mnyonge.

Katika timu 8 zilizofika robo fainali.

Ni timu 2 tu ambazo hazijawai kutwaa kombe.

Na hizo mbili ni Simba na Beulzdad
 
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.
 
Hata simba ni mnyonge.

Katika timu 8 zilizofika robo fainali.

Ni timu 2 tu ambazo hazijawai kutwaa kombe.

Na hizo mbili ni Simba na Beulzdad
Kabylie alitwaa kombe mwaka gani?
 
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.

Simba hana kombe lolote Caf.

SIMBA ni mnyonge tu.

Ila SIMBA kuzifunga timu kubwa ndicho kitu tunafurahia. Kuonesha Simba ni mpambanaji...maana Tanzania klabu zipo kibao hazijawai kufanya anachofanya Simba
 
Belouizdad umewaona ni wapuuzi kwavile hawana kombe. Ila Simba ndio umeona kwako ndio timu kubwa, sasa sijui Simba wana kombe gani la CAF. Mpira umevamiwa na mashabiki wa netball na marede.

Hao Beulzdad Sio tu hawana kikombe. Hata nusu fainali hawajawai kufika. Hata robo fainali wamefika mara chache kuliko simba
 
1981 , na mwaka 1990.

Kwa ufupi Kabylie Ametwaa kombe mara nyingi kuliko Mamelodi Sundowns
Mamelod naye amechukua mara mbili wote wako sawa ila unasema kabylie amechukua mara nyingi huku wote wakiwa wametwaa mara mbili hii point ni wazi hujui mpira
 
Mamelod naye amechukua mara mbili wote wako sawa ila unasema kabylie amechukua mara nyingi huku wote wakiwa wametwaa mara mbili hii point ni wazi hujui mpira

Mara mbili mwaka gani na mwaka gani ?

Navyojua mimi mamelodi katwaa hilo kombe mara moja tu na ilikuwa mwaka 2016.

Kabla hujasema sijui mpira taja hiyo miaka aliyochukua mara 2.
 
Mara mbili mwaka gani na mwaka gani ?

Navyojua mimi mamelodi katwaa hilo kombe mara moja tu na ilikuwa mwaka 2016.

Kabla hujasema sijui mpira taja hiyo miaka aliyochukua mara 2.
Furaha yako ni usikie watu wanasema wabovu basi ni wabovu ili ufurahi
Simba ni wazuri zaid ya mamelod ndo unachopenda kusikia masikion kwako
 
Furaha yako ni usikie watu wanasema wabovu basi ni wabovu ili ufurahi

Umeni quote nikajua unataja mara 2 ni mwaka gani na mwaka gani ?

Naona umekwepa kujibu.

Zama za google hizi huwezi kumdanganya mtu.

Taja mara mbili mwaka gani
 
Kumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilo
 
Nimekosea
Furaha yako ni usikie mamelod ni wabovu na simba ni wazuri zaid ya mamelod

Umekose vipi sijakuelewa.

Wewe umesem mamelodi katwaa kombe mara mbili.

Nimekwambia utaje kila mwaka aliotwaa kombe. Unakimbia swali hutaki kutaja hiyo miaka

Sasa mimi na wewe nani Muongo?
 
Kumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilo
Tokea simba ianzishwe sikumbuki ni lini amesha shinda uarabuni nne, yanga ndo kabisa usiwaongelee

Jamaa analazimisha watu wamfarajii kwamba mamelod ni wabovu lakin haiondoi kweli kwamba ni ukweli

Ndo maana watanzania kwenye ukweli wanataka uwaambie uongo, na kwenye uongo uambie ukweli, watanzania ni watu wa ajabu sana
 
Kumpiga mtu goal nyingi nikitoa statement pamoja na kuonyesha ubora wa ushambuliaji wenu na Mamelodi wamefanya hivyo robo Fainal na mpaka sasa hawajafungwa mechi yoyote so huwezi ukawa underate kwenye Hilo

Mamelodi tishio kila mwaka anafunga watu magoli.

Ila kombe huwa haendi kubeba anaishuia njiani tu.

Wenzake kina Al ahly, Esperence, waydad huwa wanafungwa sana tu. Ila kombe wanaenda kulibebe wao.
 
Jamaa ni mbishi alafu hana facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…