Mamelodi Sundowns watwaa ndoo nyingine

Mamelodi Sundowns watwaa ndoo nyingine

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Baada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika kwa Wanawake.

Jana, Mamelodi Women walishinda mabao 3-0 dhidi ya SC Casablanca Women ya Morocco. Ni wakati sasa 'kuwasemea' waarabu kwa Mamelodi wanaume na wanawake?
 
Na kweli itabidi tuwasemehe,ahahaaaa
 
Weka picha hizi taarifa mnaziandika kimizuka sana
1700471180885.png
 
Halafu timu haina hata mashabiki kihivyooo wakati huku Azam wanajua kula tu ice cream na kuikamia Simba
 
Mamelody wanautaka ufalme wa soka la afrika na Mimi Niko nao bega kwa bega kuona hili likitokea
 
Back
Top Bottom