Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
We sema tu unataka kuona misambwandaWeka picha hizi taarifa mnaziandika kimizuka sana
Na kweli itabidi tuwasemehe,ahahaaaaBaada ya timu ya wanaume ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini kutwaa kombe la African Football League (AFL), jana ilikuwa zamu ya timu ya wanawake ya Mamelodi kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Afika kwa Wanawake.
Jana, Mamelodi Women walishinda mabao 3-0 dhidi ya SC Casablanca Women ya Morocco. Ni wakati sasa 'kuwasemea' waarabu kwa Mamelodi wanaume na wanawake?
Imwage hio misambwanda hapa bacWe sema tu unataka kuona misambwanda
Picha ya kitu gani Mkuu?Weka picha hizi taarifa mnaziandika kimizuka sana
Weka picha hizi taarifa mnaziandika kimizuka sana
aka NyashiWe sema tu unataka kuona misambwanda