Mamelodi Sundowns yashinda 24-0

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini Kimberly, Afrika Kusini. Mpaka wakati wa mapumziko, Sundown walikuwa mbele kwa goli 10-0, kipindi cha pili waliongeza mengine 14 na kufanya matokeo kuwa 24-0 mpaka mwisho wa mchezo. Ilikuwa siku nzuri kwa Hlompho Kekana aliyefumania nyavu za wenyeji mara sita katika na kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo...
Zaidi: http://www.sundownsfc.com/news/article/120304/Downs_thrash_Powerlines_in_rec ord_win
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa walikuwa wanacheza sita uwanjani? Si wangefunga hapa kwa mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…