Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
Ushindi huo mnono katika historia ulipatikana juzi Jumapili, 4 Machi katika mechi ya raundi ya 32 ya kombe la Nedbank kati ya Mamelodi Sundowns na timu ya daraja la nne ya Powerlines FC huko mjini Kimberly, Afrika Kusini. Mpaka wakati wa mapumziko, Sundown walikuwa mbele kwa goli 10-0, kipindi cha pili waliongeza mengine 14 na kufanya matokeo kuwa 24-0 mpaka mwisho wa mchezo. Ilikuwa siku nzuri kwa Hlompho Kekana aliyefumania nyavu za wenyeji mara sita katika na kutangazwa kuwa mchezaji bora wa mchezo huo...
Zaidi: http://www.sundownsfc.com/news/article/120304/Downs_thrash_Powerlines_in_rec ord_win
Zaidi: http://www.sundownsfc.com/news/article/120304/Downs_thrash_Powerlines_in_rec ord_win
Last edited by a moderator: