Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

Al Ahly Vs TP Mazembe
Dakika ya 90+14
3-0 (3-0)

Mamelodi vs Esperence
Dakika ya 90+5'
0-1 (0-2)
 
Full Time
Al Ahly vs TP Mazembe
3-0.
Al Ahly to Final
 
Al Ahly Vs TP Mazembe
Full Time
3-0 (3-0)

Mamelodi vs Esperence
Full Time
0-1 (0-2)
 
Yanga wataalam wao walichemka kidogo wajipange mashindano yajayo, ila hili kombe Yanga angebeba
 
kazi kuchomekea kutuonyesha tu matako twake hana cha skills ushuzi mtupu. sauzi na mpira wapi na wapi?? sauzi waambie pombe na kukatika miziki
Shelulile ni Mnamibia
 
Yanga wataalam wao walichemka kidogo wajipange mashindano yajayo, ila hili kombe Yanga angebeba
Angelibeba wapi?
Hivi unaamini Yanga angemfunga Esperence?
 
Al Ahly Vs TP Mazembe
Full Time
3-0 (3-0)

Mamelodi vs Esperence
Full Time
0-1 (0-2)
Bila Yanga kudhulumiwa huko Pretoria ili kuigawia mamelodi nafasi ya nusu fainali, fainali hii ingekuwa kati ya Al-Ahly na Yanga. Esperance asingefurukuta kabisa mbele ya Yanga
 
Back
Top Bottom