Mamelodi waahidi Kuishushia Yanga kipigo Kizito ili kujikusanyia point wafuzu klabu bingwa dunia

Sijui kwanini huwa hamjifunzi wakati makundi yanapangwa mliibuka na kusema Yanga hatoboi na ikawaje???
Saivi mmekuja na kingine tena
 
Hapa sijaelewa kila mwezi mfano unakuwa unatoa 25k au

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mamelodi Sundowns wanasema lengo lao sio kufuzu bali kuipiga Yanga 'nje ndani kwa kipigo kizito' ili kukusanya pointi za kujihakikishia kufuzu Klabu Bingwa Duniani.

Masandawana wamedhamiria kuwadhalilisha majini SC
wamesema wapi?
 
Mukiitwa mbumbumbu munaanza kulia lia.
Habari haina chanzo wala nini.
Yani umetoka kukata gogo huko, hata hauja chamba, umekimbilia kupost.

Hii inchi kuna watu hata ukiwaita machizi bado unawasifia tu.
 
We boya ungelea liteam lenu bovu utopolo

Unasemaje wewe 'Seti tupu'?

Tunasubiri mtudhalilishe tu Watanzania.
Mwarabu atahamishia hazira zake kwenu, anawachapa nje-ndani.

Kisha kaka zenu WANANCHI wanawafanya vibaya MAMELODI.
 
Unasemaje wewe 'Seti tupu'?

Tunasubiri mtudhalilishe tu Watanzania.
Mwarabu atahamishia hazira zake kwenu, anawachapa nje-ndani.

Kisha kaka zenu WANANCHI wanawafanya vibaya MAMELODI.
Kubalini Simba ni mkubwa wenu
 
Wakae kwa kutulia. Mpira unadunda.

Ingekuwa Simba kweli wangepata mseleleko,
Kwa Yanga ni wazi na wanajua shughuli waliyonayo sio ya kitoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu naona mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…