Mamelodi yawapa mbinu Yanga

Mamelodi yawapa mbinu Yanga

Haahaa mtawayawaya sana mwaka huu. Hii ni sawa na mtu wa facebook tuu anaefanya urafiki na mtu wa mbali tena hamfahamu na kumdharau jirani yake anaeishi nae mtaa mmoja. Utopolo ukitaka codes za kuchukua points kwa Ahly home and away usione aibu, toka hapo matopeni vuka barabara piga hodi msimbazi hapo omba msaada utasaidiwa, Jirani yako ndie nduguyo.

Gamondi amelijua hilo ndio mana alienda kuangalia mechi ya simba na ahly na baadae akaomba namba ya roba akapewa sasa hivi anashinda nyumbani kwa robatinyo
Baada ya kuomba namba ya Roba akampa kono la nyani na mkamfukuza Roba wenu.
 
Baada ya Mamelodi Sundowns kumtwanga Al Ahly na kuingia hatua ya fainali ya michuano ya African Football League hii inaweza ikawa ni darasa la bure ambalo Yanga SC wamelipata la namna ya kumfunga Al Ahly kwani Wananchi wana kibarua cha kukutana nao kwenye michezo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika......hakuna kufa kiume [emoji23]

FT: Al Ahly 0-0 Mamelodi (Agg: 0-1).
Fainali ya African Football League ni Wydad AC Vs Mamelodi Sundowns

NB: soka la huku kusini mwa Africa....linawahitaji Yanga na mamelodi Ili kubalance mpira wa Africa View attachment 2801085
Mbona video analysis wao alienda misri wakati yanga wanacheza na Ahly
 
Back
Top Bottom